DIAMOND PLATINUMZ ATIMIZA NDOTO YA MTOTO WA IRENE UWOYA, ULINZI WAKE DIAMOND PLATINUMZ UNAWEZAKUWA NBA MOJA AFRICA?
TANZANIA: Msanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina Diamond PLATINUMZ ukipenda unaeza muita 'Simba wa Tandale' Jana alibahatika kuwa kati ya wageni rasmi walialikwa kwa sherehe kubwa na kifahari,iliyoandaliwa na msani wa kike wa Bongo movie,Bi. Irene uwoya ambaye hivi karibuni zimezuka tetesi kuwa alikuwa anaolewa kwa Mara ya Tatu,kitu abacho kimezia gumzo kwa mtandao ya kijamii hasa Instagram ambapo picha zilifuja akiwa amvaa shelaa na bwana arusi Mwenye asili ya kizungu.
Ivyo basi alialika watu kwa sherehe iyo na 'Simba' akawa mmoja wao ilikujua ni nini hasa kilichoandaliwa na bi Dada huyo mrembo kutoka Bongo movie. DIAMOND PLATINUMZ alikuja na team yake akiwemo mameneja wake,Director Kenny kutoka zoom production wakiambatana ulinzi kali mkali mno!
Mashabiki zake walionekana kuwa hamu na shauku ya kumsogelea ila ulinzi wake tu ulikuwa unashtua,Mtoto wa staa huyo wa Bongo movie, aitwae 'Krish'alitimiza ndoto yake baada ya kukutana na Diamond platinumz ambae ndie msanii anayempenda na kumkubali sana pia alimtaja kama role model wake!
Kwa ulinzi uliyoekana siku hii he wewe unahisi Diamond platinumz ndio msanii Mwenye ulinzi mkali Africa????
No comments