Breaking News

MAAJABU YALIYOPATIKANA CHINI YA BAHARI HUKO LIKONI FERRY, MOMBASA-KENYA

Baada ya jitihada nyingi kufanyika na jeshi la majini (Kenya navy) ili kuhakikisha wanafanikiwa kupata miili ya mama na mwanae waliozama na gari,wakati walikuwa wanavuka katika kivuko hicho cha likoni ferry,kilichopo Mombasa Kenya.
Maajabu mengi yalijitokeza kwa oparesheni iyo ambayo iligharimu wiki moja na masiku kukamilisha oparesheni  iyo.
Video iliyotokea kuonyesha maajabu hayo ndio hii hapa chini.


No comments