RAISI, MSTAAFU WA TANZANIA, ANAPANGA KUZINDUA KITABU CHAKE,"MY LIFE,MY PURPOSE " NOVEMBA 12,2019.
Aliyekuwa raisi wa awamu ya tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa,Bwana,Benjamin Mkapa.
Anatarajia kuzindua kitabu chake ifikapo tarehe 12 Novemba mwaka huu.
Kitabu iko kitakacho itwa "My Life,My Purpose" kitaweza kusimulia historian ya raisi huyo mstaafu kutoka alipokuwa mdogo,masomo ya yake,maisha yake ya kisiasa Tanzania na maisha yake kipindi yupo kama raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na hata maisha yake baada ya kustaafu Kwa siasa za Tanzania.
Watanzania na watu note ulimwenguni wanaisubiria siku hii Kwa hamu,maana ni siku ambayo,wengi watatiwa moyo na simulizi ya maisha ya Raisi,mstaafu Benjamin Mkapa.
Wewe kama mfuatiliaji mzuri wa siasa za Tanzania, ivi unamkumbuka Raisi,Mstaafu, Benjamin Mkapa Kwa lipi???...
Tupia comment yako.

Tuna kisubiri
ReplyDelete