Breaking News

DOA LAJITOKEZA KATIKA JITIHADA ZA KUMALIZA MAPIGANO YA MUDA MREFU SUDAN KUSINI.

Wakati serikali Tawala na serikali ya upinzani ya Jamhuri ya Sudan Kusini,inapoaendelea na juhudi zao za kurudisha amani na umoja nchini humo.
Doa laanza kujitokeza wakati kiongozi wa upinzani na pia aliyewai kuwa makamu wa rais,Mheshimiwa Bw.Riek Machar.
 Ameonyesha kudhabishwa na serikali tawala chini ya uongozi wa Rais,Salva Kirr ambae waliingia nae Katika makubaliano ya amani nchini humo.
Mheshimiwa Riek Machar ameishutumu serikali tawala Kwa kushindwa kutekeleza mkataba wa amani na kutoa wito wa kurefusha uundwaji wa serikali ya umoja Kwa miezi sita.
Kitendo hicho cha kurefusha muda wa kuunda serikali ya amani kimeonekana kama doa katika jitihada za kurudisha amani na kumaliza mapigano ya muda mrefu Sudan Kusini.

No comments