TOP 10 YA MAKABILA YENYE WANAWAKE WAZURI TANZANIA. HII HAPA NDIO TAFITI MPYA 2019
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi sana,zainazo waunganisha Watanzania Kwa Upendo,Amani na Umoja!
Moja ya Rasilali hizo ni wanawake wao ambao ni kivutio cha wengi kutaka kuitembelea Tanzania.
Hebu Leo tupate new update za makabila kumi bora yenye wanawake wazuri kupindukia na maeneo wanayotokea Kwa nchi iyo.
1.WAHIRAKI- Hawa wanawake wakiaraki ni weupe Kwa muonekano,wamejaliwa maumbo mazuri na wanavutia Kwa kuangalia tu!Wanapatikana Kaskazini mwa Tanzania, uko Manyara .
2. WARANGI - Hawa ni wanawake wa jamii ya warangi ni wazuri weupe na wenye nywele ndefu na ni wa asili ya kiarabu.wanapatikana Kondoa.
3. WANYIRAMBA - Hawa ni warembo sana wa sura na maumbile yao.Huwa wanapatikana Singida kaskazini,usipokuwa makini unaeza wafananisha na wanyaturu.
4. Wamasai - Hili ni kabila ambalo wanaifadhi sana mila na tamaduni zao,ila limetokea kuwa na wanawake warembo zaidi ambapo ukikutana na mmoja hata mjini,utatamani kuchumbia iyo siku na kuoaiyo siku.wanapatikana Arusha na viunga vyake.
7.WAPARE - Hii ni jamii ya kutokea Moshi,wilaya ya Same,wako vizuri kishepu na kisura,wanatajika Kwa Sifa ya kuwajali waume zao.
8. WAMAKONDE - Hawa wanawake no wazuri na wenye mvuto wa kumnasa mwanamume Kwa haraka! Ni wazuri wa kufanya mapenzi, Wanapatikana Kusini mwa Tanzania, Mtwara na lindi.
9.WASAMBAA - Hawa ni wanawake wenye kusifika sana katika mkoa wa Tanga,nini wachapa kazi sana,ni warembo wakuvutia na pia ni watundu Kwa sekta ile.wanapatikana lushoto na Tanga mjini.
10. WANYAKYUSA - Hawa ni wanawake wanaotoka moja Kwa moja katika mkoa wa Mbeya,Hawa wanawake wengi wao ni weusi wa muonekano,ila sura zao huwa mzuri na wenye kuvitia sana,watalaam wanawaita "The African black beauty"
NB: Mliooa na wenye wachumba wa makabila mengine,poleni kama itakuwabumekwazika.
Tupia comment yako tujue unawakubali wanawake gani kati ya Hawa!
Moja ya Rasilali hizo ni wanawake wao ambao ni kivutio cha wengi kutaka kuitembelea Tanzania.
Hebu Leo tupate new update za makabila kumi bora yenye wanawake wazuri kupindukia na maeneo wanayotokea Kwa nchi iyo.
1.WAHIRAKI- Hawa wanawake wakiaraki ni weupe Kwa muonekano,wamejaliwa maumbo mazuri na wanavutia Kwa kuangalia tu!Wanapatikana Kaskazini mwa Tanzania, uko Manyara .
2. WARANGI - Hawa ni wanawake wa jamii ya warangi ni wazuri weupe na wenye nywele ndefu na ni wa asili ya kiarabu.wanapatikana Kondoa.
3. WANYIRAMBA - Hawa ni warembo sana wa sura na maumbile yao.Huwa wanapatikana Singida kaskazini,usipokuwa makini unaeza wafananisha na wanyaturu.
4. Wamasai - Hili ni kabila ambalo wanaifadhi sana mila na tamaduni zao,ila limetokea kuwa na wanawake warembo zaidi ambapo ukikutana na mmoja hata mjini,utatamani kuchumbia iyo siku na kuoaiyo siku.wanapatikana Arusha na viunga vyake.
5.WAHAYA - Hawa ni wanawake wa jamii Ya kanda ya Ziwa Victoria. Maumbile yao yanyuma ni balaa,miguu yao inasemekana ni ya bia,shepu zao zinamvuto wa kipekee! Wanapatikana Bukoba.
6.WANYATURU -Hawa ni wanawake wanaofananishwa na wanyarimba ni warembo na wenye mvuto na nidhamu kwa wanaume zao,upole na nidhamu yao upelekea kuolewa na kudumu Kwa ndoa.
8. WAMAKONDE - Hawa wanawake no wazuri na wenye mvuto wa kumnasa mwanamume Kwa haraka! Ni wazuri wa kufanya mapenzi, Wanapatikana Kusini mwa Tanzania, Mtwara na lindi.
9.WASAMBAA - Hawa ni wanawake wenye kusifika sana katika mkoa wa Tanga,nini wachapa kazi sana,ni warembo wakuvutia na pia ni watundu Kwa sekta ile.wanapatikana lushoto na Tanga mjini.
10. WANYAKYUSA - Hawa ni wanawake wanaotoka moja Kwa moja katika mkoa wa Mbeya,Hawa wanawake wengi wao ni weusi wa muonekano,ila sura zao huwa mzuri na wenye kuvitia sana,watalaam wanawaita "The African black beauty"
NB: Mliooa na wenye wachumba wa makabila mengine,poleni kama itakuwabumekwazika.
Tupia comment yako tujue unawakubali wanawake gani kati ya Hawa!
Wayaho na wamwela kweri wazuri wamakonde niache kidogo
ReplyDeletehahahahaha...wamakonde wazuri kwa kunengua mauno kitandani tu...wakifuatiwa na wangoni na wadigo
DeleteDah Atari sn ila sijawaona wachaga😂
ReplyDeletewachaga uzuri wao unategemea...ila ninwazuri kusema ukweli
DeleteNimewakubali wahaya
DeleteWahaya + wanyiramba 🙌🙌 hatar Sana Ila dah ndgu zangu wanyamwezi vip 😋
ReplyDeletehao wengine wamechukua nafasi ya kuanzia namba kumi na moja kwenda mbele
DeleteWanawake wote ni wazuri kwani wote wameumbwa kwa sura mfano wa Mungu. Ila kwa kuwa tunafuata matamanio ya kimwili !!!!! Ndiyo maana tunabagua
ReplyDeletewanawake wazuri ni wazuri tu ....wacha kutafuta sababu
DeleteWanyiramba aisee n wazuri mnoo
ReplyDeletewazuri mnooo....tembea maoneo yako uonee
DeleteWachagga vipi? Natokea Kenya na nataka kuoa mChagga. Wako vipi nisifanye makosa?
ReplyDeletewachaga warembo,wakarimu,wachapa kazi,wafanyabiashiara wazuri ila jua kuwa wanathamini hela kwaivyo tafuta hela kwanza
DeleteTanga ni wazur wanjali waume zao na ni watundu kula idara
ReplyDeleteWahiraki ni wazur kuwazidi warangi au
ReplyDeleteWairaki ni wazuri kuwazidi wote kwanza ukifuatilia asili Yao so wabantu
ReplyDeleteWanyiramba Ni warembo Sana kushinda wote ata bila stima wamuona usiku
ReplyDeleteWachaga wazuri
ReplyDeleteHao warangi noma kuna anayebish
ReplyDeleteHawa wahilak wanatisha kweli kweli
ReplyDeleteWakuria nao ni wa💕💕 zuri
ReplyDeleteWachaga wazuri sanaaa
ReplyDeleteVipi kuhus warangi???
ReplyDelete