BURNA BOY ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ACT TUZO ZA #MTVEMA2019 AMSHINDA KONDEBOY NA WENGINE WENGI.
#FplusUpdates : Mwanamziki kutoka nchini Nigeria,Burna Boy amefanikiwa kushinda tuzo ya msanii bora Africa katika tuzo za #MtvEMA2019 Ambazo zefanyika usiku huu,ambapo msanii kutoka Tanzania anayefanya vizuri kwa sasa Harmonize alikuwa kwa kinyang'nyiro hicho,Harmonize ambaye pia aliyewai kumshirikisha Burna boy kwa hit song yake "Kainama" wakiwa na Diamond platinumz .
No comments