KITABU CHA LUPITA NYONG'O KUTAJWA KUWA KITABU BORA CHA WATOTO 2019
Kitabu cha watoto kilichoandikwa na Lupita Nyong'o Mwigizaji maarufu kutoka Kenya na anayefanya shuguli zake nchini Marekani kimetajwa kuwa kitabu bora zaidi cha watoto Duniani.
Kwa mujibu wa Amazon,kitabu cha "Sulwe" ambacho kibeba maudhui ya kujipenda hasa Kwa watu wenye ranging Nyeusi ndio kitabu bora zaidi Kwa mwaka wa 2019.
Kwajili
Kwa mujibu wa Amazon,kitabu cha "Sulwe" ambacho kibeba maudhui ya kujipenda hasa Kwa watu wenye ranging Nyeusi ndio kitabu bora zaidi Kwa mwaka wa 2019.
Kwajili
No comments